Skip to main
Mko Wapi artwork

Mko Wapi Explicit contentE

itheopia

· 1:36 · 0 plays · v3-preview

About

futuristic musically

Lyrics

‎Mko wapi?Tuko quiver tunachoma liver

‎ati mko wapi?

‎Tuko kwa choo za quiver na Christina Akona boy wake wanachoma picha ashakuwa Mia khalifa

‎but si tunachoma sativa Dem Boyz tushakuwa masnoopy na mawiz khalifa

‎Amejipaka glitter na ametuomba fegi but amechoma akaacha gloss kwa filter

‎Imebidi ata tumemnyima sativa

‎Anasema ata tusimpee ju yeye ameiva

‎Tumeacha Dem Yako kwa counter amejianika

‎akichocha mubaba ye ni model but anajifanya diva

‎Tuko quiver na anasumbua dj amchezee alikiba

‎Ka si Ivo ati diamond na ati anamuita simba

‎Imebidi mcee amuambie aache ujinga

‎Huku tunachezanga machris brown na Justin Bieber

‎Thot but she thinks we forgot tulikuwa Jana na yeye whiskey river

‎Anajichocha ye ni mtaita

‎Na kwao ni huko tumeflood naskia ni mkamba wa tanariver

‎Kwao Kuna njaa but Tukijaribu kumchipo anasema ameshiba

‎Akiringa akituambia tunakaa shida

‎Ju si tulikuwa tunakata makali na mubabaz amemuitishia tusker cider

‎ATI ye tu hukuliwa na wasee wanaeza afford order ya pizza

Comments

No comments yet.