
About
futuristic musically
Lyrics
Mnaongea kwa trenches ati si tunawagongea kwa gutters
Nka kucampare Jordans na Bata
Nka kuncompare kwa base ikona free wifi na mi nmepost nkiwa kwangu na data
Anataka miti but we unamuambia story za ploti vile tulikuwa shamba
History ya jaba
Cleaners always wako ready kusafisha rada
Nkigoon kuliko gangsters
Nkiact stupid na nmedandiwa mara mingi kuliko madanda
Nmefanya show in Kenya UK wananistream nka nshaifanya show in London
Karibu nimumble nka mi ni panda
Nkishikisha na agugu family
Ananionyesha picha yenye Iko kwa wall ni family tree
Akiniambia mi ni mrazi ningeimba reggae si drill
Ama niimashup ka reggae drill
Io ndo vibe yenye yeye na waras wenzake watafeel
Io ati ndo ineza fikisha izi views mill
Niache kuingia kwa mfuko nkijaribu kulipa bill
Io ndo show ati ineza kill
Yenye ineza onyesha ati vile nmeadvance na skill
Ananiambia Cheki clout imefanya waras watrip
Wahire mapoko kutwerk kwa skit
Wamevaa Hadi thong ikona slit
I think wakiadvertise kwa qualifications waliandika wanasaka ati haga ikona split
Captain Kenya ju ya Hawa watoto wao Nkona shield
waambie basi Sina fielder but nko kwa field
bado nadream and one day ntaachieve

Comments
No comments yet.