About
futuristic musically
Lyrics
She crying me a river Buy me a car
selfie ikona captions si ungetrap kama scar
video ikona mentions Sijui ati make me a star
Mwingine ananikumbusha vile tumetoka far
Si niride shotgun si unakumbuka tukijaza mat
Tukiperform kwa bar acha sai unasell out arenas unakumbuka tukijaribu kujaza club
Wakisema tunasell crap
Tukisaka compass ya future io time tulikuwa tunamap
Tukijaribu kugo viral airborne na kulikuwa na issue ya wingflap
Nliona wakiona clip Yako siku izi wanaclap
Hukumbuki wakisema uko cheap sai wanasema nka ukona chip vile uko sharp
Unarap,Kwanza ile Ngoma yako ati tunaslap mpaka wanaclap
Mbona uliifanya ukidrill mbona si trap ama shrap
Ulikuwa op manze mbona sku izi nka unacap
Unakumbuka zile matime Kila boot ilikuwa inamarch
Izo mausiku haukuwa unagive a fuck
Ulikuwa unawaambia fuck you haukuwa unacurse
Ex Ako salama anasema nikiss tho Sijui ka Bado unanitrust
Nlikuona Nairobi diaries na ule bitch queen Vee nkacatch
Unaona ata nmemeza pills za kuongeza nyash
Mbona haukuniambia ati izo days ati inakaa flat
Saizi tu ni boobs ndo zinasag
Nmejaribu pills kuziamsha nmejaribu herbs
Nimesaka plastic surgeon wa kuzifix but
Hio procedure si unajua vile wanacharge
Na vile sai hizi bills zinanicrush
Umenibebea foreign nakumbuka ukinichoma mashash
Hope umenletea bag ya exotic herbs
Siku izi nkikucall haupick ju ni reverse
We haukumbuki ukiniplease call na ukiniflash
Nliacha ukijistrap
Glock ni how much
Nacheki uko mshy bado mbona unablush
Texbook wetsuit Unafanyanga my kucci inaflood
Ubaya siku izi haunichase unachase bag
Mbona online juzi walikuwa wanakuattack
Na vile unakuanga nyonde that's very bad
Masnse juzi wameknock wakiuliz do you still keep in touch
Wanakutrace ati niwapee namba ya kukutrack
Kwani haukuwa na pin yenye ulikuwa umepack
Next time Don't let them disrespect you and me like that
Ungenipigia nkukujie na mask
Ka ulikuwa unaogopa kushoot all you had to do was ask
Ungeona Ile scene ningeact
But first
Text me back
Blue ticks zako zinanihurt
Why do you do me like that
You know hii shit natek sideserve
Sina beef na hii si bluff
What happened to the love
Ju nka Chemistry yetu iliishia lab
And that's whatsup
Wassup.


Comments
No comments yet.