Skip to main
Mtaani nilijifunza artwork

Mtaani nilijifunza

paddytheking

· 0 plays · Upload

Lyrics

cheer

Siboy King Padi

Padi on the beat

Street Empire Production

Hii si atifu ya kusimuliwa

Hii ni maishi tulipitia

Nilizaliwa vila ramani, nikatafuta njia

Mufukoni hakuna kitu lakini kichwani nitotomia

Mwengine walicheka, wakasema sitafika

Leo naandika historia, kesho nitawashangaza

Mtao nilifundisha kusoma nyuso za watu

Skilla nae kukumbatia, ananiya kukusaidia

Nilipokuwa na shida simu silikuwa kimia

Nilipopata mwanga kila mtu wakawa ndugu yangu

Nimeona masifini ya kigawana licho nacho

Na tajiri ya kificha za tabasamu lake moyoni

Maisha si mashindano kila mtu na safari

Usimzarawa liyako chini ujui kesho yake

Mtaani lijifunza

Nimia haina huruma

Ukiang'uka kuna wengi watakao kuinua

Nimebeba maumivu ya ya geu za nguvu

Leo nasimba maimara sio topi tena kiza

Mtaani!

Hapo nipo nilikifunza

Maisha!

Yani nifunisha kufumilia

Nina marafiki wa chache madui wengi kimia

Wengine wanakuita brother lakini wanakuombea wanguke

Nimeata kuamini maneno naangalia vitendo

Maana hata kivuli chako kukimbia giza nikifika

Mama aliniambia mwanangu sika tetamaha

Hata juu alikizama kesho alitachomoza pena

Nilikuwa na njaa lakini ndoto zilikuwa kubwa

Esasa kila tuoni inayopiga ni vita nina vio shida

Sina haja ya kujifanya najua niliko toka

Vyatu vilikuwa vimechoka lakini miguu waikusimama

Walinifungia milango nikatafuta madilinsha

Kama dunia inipinafasi nitajite ginezea nafasi

Sina muda wa drama, mi na muda wa mipango

Nimechoka na akhi, nataka matokea u mikononi

Wanongea nyuma yangu, mbele yangu wanataba samo

Mimi inapiga kuu, hawa wanapima nilikuwa mvuka

Nimeona ndoto zikifa kwa kukosa msada

Nimeona vipaji zikizikwa kwa kukosa nafasi

Lakini mimi ni moto, siwezi kusimwa na upepo

Hata nikikosa njia, itachonga kia kwa mikono

Heshima, hai mululiu, hii na riye ngui kwa kerele

Ukweli unauma, lakini uhongo na makara

Sijafika mwisho, hii ni mwanzo wa safari

King party kwenye

Ngobuza kina banga

Ngobuza kina banga

Ngobuza kina banga

Ngobuza kina banga

Ngobuza kina banga

si bwoy King Paddy

Paddy on the beat

Street Empire Production

Comments

No comments yet.